top of page

MUHTASARI KUHUSU FOSE

FOSE ni NGO ya kitanzania, taasisi isiyo ya kiserikali isiyolimbikiza faida yenye madhumuni ya kusaidia kuinua uchumi wa mtanzania kwa ujumla kwa njia ya kutoa misaada mbalimbali kwa makundi mbalimbali ya wananchi wasiojiweza au wanaohitaji msaada katika maswala ya elimu, afya, biashara, unyanyasaji wa kijinsia, maandalizi ya kustaafu, jinsi ya kujitegemea kwa vijana bila kuajiriwa, kusomesha watoto wasiojiweza nk.


FOSE inaunga mkono Millennium goals na kufanya kazi kuhakikisha dunia inakuwa salama na yenye afya kwa kuanzia na Tanzania kama mfano bora.

Misaada:

 

FOSE inakaribisha misaada ya kifedha toka kwa watu na mashirika mbalimbali ili kuiwezesha kufikia malengo yake.

​

  • Facebook Social Icon
  • Twitter Clean

© 2017 by MG & FOSE.

​

Visit

Plot No 293, Block 697 |

Sinza A | Sam Nujoma Road

PO Box 22125 |

Dar es Salaam | 

Tanzania

Call

+255 737 232 704

Contact

Email: fosetz@gmail.com

bottom of page